Kwa maduka yote Tanzania

Simamia Duka Lako 
Kidigitali 

Mauzo. Stoku. Deni. Faida. Yote katika mfumo mmoja rahisi — ukitumia simu yako tu.

Bure siku 14Data yako salamaInafanya kazi bila internet
menuos.online/dashboard

Habari, Amina!

Jumapili, 20 Aprili 2026

+ Uza Sasa

Mauzo Leo

TZS 450,000

+12%

Faida

TZS 130,000

28.9%

Deni

TZS 1.25M

23 wateja

Mauzo — Wiki Hii

JmtJmtJmnAlhIjmJmsJpi
Duka la VyakulaDuka la NguoStesheni ya MafutaPharmacyDuka la VifaaSaluniBaa & MkahawaMini MarketDuka la ElektronikiDuka la VipodoziDuka la VyakulaDuka la NguoStesheni ya MafutaPharmacyDuka la VifaaSaluniBaa & MkahawaMini MarketDuka la ElektronikiDuka la Vipodozi
0 dakika

Kuanza kutumia

0%

Inafanya kazi offline

0/7

Data yako salama

0 TZS

Kuanza — bure siku 14

Vipengele

Kila kitu unachohitaji 
katika mfumo mmoja 

Mauzo ya Haraka

Tap bidhaa, chagua malipo, mauzo yamekamilika. Rahisi kama WhatsApp.

Jifunze zaidi

Simamia Stoku

Jua kila wakati una bidhaa ngapi. Arifa ukipungukiwa stoku.

Jifunze zaidi

Fuatilia Deni

Kila deni imerekodiwa. Tuma vikumbusho kwa SMS au WhatsApp.

Jifunze zaidi

Ripoti Wazi

Mauzo ya leo, faida halisi, gharama — picha moja tu.

Jifunze zaidi

Timu Yako

Mwenye duka, meneja, cashier — kila mtu ana jukumu lake.

Jifunze zaidi

Faida Halisi

Bei ya kununua vs kuuza. Jua faida yako ya kweli kila siku.

Jifunze zaidi
Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3 tu. Basi. 

Hakuna training. Hakuna hardware maalum. Fungua simu, anza.

HATUA 01

Sajili Duka Lako

Jina, nambari ya simu, aina ya duka — dakika 2 tu.

HATUA 02

Ongeza Bidhaa

Weka bidhaa zako na bei. Scan barcode au andika mwenyewe.

HATUA 03

Anza Kuuza

Tap bidhaa, chagua malipo — kash, M-Pesa, au deni. Basi!

Kwa nini MenuOS? 

Simu Kwanza

Imebuniwa kwa simu — sio kompyuta. Inafanya kazi kwa smartphone yoyote.

Bila Internet

Umeme umekatika? Internet imeisha? MenuOS inaendelea kufanya kazi.

Data Salama

Data yako inalindwa na encryption. Backup kila siku, usalama wa juu.

Bei

Anza bure. Lipa ukikua. 

Hakuna mkataba. Sitisha wakati wowote.

Bure

TZS 0/siku 14
  • Mtumiaji 1
  • Bidhaa 50
  • Mauzo ya msingi
  • Ripoti ya siku
Maarufu zaidi

Duka

TZS 25,000/kwa mwezi
  • Watumiaji 2
  • Bidhaa 500
  • Ripoti kamili
  • Deni tracker
  • SMS vikumbusho

Biashara

TZS 50,000/kwa mwezi
  • Watumiaji 5
  • Bidhaa zisizo na kikomo
  • Ripoti za kina
  • SMS & WhatsApp
  • Matawi mengi

Tayari kuanza? 

Sajili duka lako kwa dakika 2. Hakuna malipo. Hakuna kadi ya benki. Jaribu bure siku 14.